Skip to main content

Haki Africa yaitaka idara ya polisi kuchunguza kupigwa kinyama kwa mmoja mtaa wa bombolulu kaunti ya Mombasa



Na Godfrey aluda / Mwarandu Kombe
Mathias Shipeta afisa wa kitengo cha dharura katika shirika la kijamii la HAKI Afrika

Shirika la kutetea haki za kibinadamu la Haki Africa limeitaka idara ya usalama kaunti ya Mombasa kufanya uchunguzi wa kina  na kuwatia nguvuni wahudumu wa boda boda wanaodaiwa kumpiga na kumjeruhi vibaya kijana mmoja mwenye umri wa miaka 28 katika eneo la Bombolulu mapema juma hili.

Kulingana na afisa wa kitengo cha dharura katika shirika hilo Mathias Shipeta kijana huyo alivamiwa na baadhi ya wahudumu wa boda boda wanaohudumu eneo hilo ambao walimpiga na kujeruhi vibaya  baada ya kulumbana na mmoja wao.

Akizungumza na wanahabari mjini Mombasa Shipeta amelaani vikali kitendo hicho  na kuitaka idara ya usalama eneo hilo kuhakikisha kuwa uchunguzi unafanywa .

Shipeta aidha amefichua kuwa baadhi ya wahalifu hujifanya wahudumu wa boda boda na kuwaharibia jina wahudumu hao.

Amewataka wahudumu hao kutoa taarifa kwa maafisa wa polisi ili wahalifu hao wakabiliwe vilivyo.

Kijana huyo anaendelea kupokea matibabu katika hospitali kuu ya ukanda wa pwani .


Comments

Popular posts from this blog

Involve all stakeholders when proposing new laws- BOTTAX General Secretary petitions government

BOTTAX General Secretary Cynthia Wanyonyi Photo (courtesy) BY PETER KOMBE Kenya Boda Boda Tuk Tuk and Taxi Workers Union (BOTTAX Kenya) has faulted the government on claims of passing bills that do not favor the transport sector. Speaking to the media in Mombasa on Monday the union’s General Secretary Cynthia Wanyonyi said in most cases the government does not involve boda boda Tuk Tuk and other informal transport worker's representatives. She further noted that as stakeholders in the public transport sector the government fails to carry out effective public participation exercises as enshrined in the Kenyan constitution. “The government does not involve the public when making certain decisions,” she noted. Wanyonyi urged both the operators to register with the union to avoid being misled by what she claims are quack organisations. She urged the department concerned with registering cooperatives and other associations touching on the informal trans...

MALONZA AIDHINISHWA

Sasa ni afueni kwa waziri mteule wa utalii Peninah Malonza baada ya bunge la kitaifa kuidhinisha majina yote ya mawaziri wateule ikiwemo la Bi. Malonza. Malonza alinusuriwa baada ya bunge kukataa pendekezo la kamati hiyo kuwa asiidhinishwe. Wabunge wa mrengo wa Kenya Kwanza, waliunga mkono kuidhinishwa kwa Malonza, wakisema ana tajiriba ya kutosha na anapaswa kupewa fursa ya kuhudumu. Sasa majina ya mawaziri wateule walioidhinishwa yatawasilishwa kwa rais kwa uteuzi rasmi.

Traditional Healer Wants Asset Recovery Authority Disbanded

RE: VIOLATION OF ARTICLE 10,25,31,35,40,50(1),232(1)(G), AND 234(2) OF THE CONSTITUTION OF KENYA, 2010 AND SECTION 10 OF PUBLIC SERVICE(VALUES AND PRINCIPLES) ACT NO.1 A OF 2015 IN AND RELATION TO THE APPOINTMENT OF COLONEL ALICE MATE AS AGENCY DIRECTOR, ASSETS RECOVERY AGENCY. OUR CLIENT STEPHEN VICKER MANGIRA ID NO>20129581. The source of this story is from Steve Vicker Mangira written by his lawyer Kinyua Steve Vicker Mangira previous photo taken at Shanzu court Mr. Stephen Vicker manager, the above-mentioned client is a Kenyan citizen by birth. He has elected to exercise his civic mandate under articles 3 and 10 of the constitution of Kenya, 2010, and to access information held by you which he requires to exercise and protect his fundamental rights and freedoms under articles 25©,31,35, 40,48, and 50(1). this letter is also addressed to you under provisions of article 47(2) of the constitution of Kenya,2010 as regards fair administrative actions Our clients fundamental ri...