Taasisi ya uhasibu nchini ICPAK yataka serikali za kaunti kuajiri wahasibu waliobobea katika taaluma hiyo ili kuzuia ufujaji wa fedha za umma
Naibu mwenyekiti wa taasisi ya uhasibu nchini ICPAK Denish Osodo |
Akizungumza katika kaunti ya Mombasa naibu
mwenyekiti wa taasisi hiyo Denish Osodo
amesema ni sharti magavana nchini waangazie suala hilo ili wanachi wapate
huduma bora.
Aidha Osodo amesistiza kuwa kuna haja ya serikali za
kaunti kutafuta njia mbadala za kuongeza viwango vya mapato yao.
Hata hivyo ameongeza kuwa kulingana na katiba
serikali za kaunti zina majukumu ya kutekeleza ili kutoa huduma bora kwa
wananchi.
Comments
Post a Comment